Recent content by OPAMWA

  1. O

    African Satellite World and Sat Gear

    Basing on your location (Tabora) it is very difficult to bring down the bird with such instrument!,go to 8ft pf
  2. O

    African Satellite World and Sat Gear

    Can you inform the dish size that you are using to bring down the bird there at Tabora?
  3. O

    African Satellite World and Sat Gear

    For those who pointed there dishes at eutelsat 70B @70.5E rescan your receiver to acquire a new channel named UTV now showing kenyan music!
  4. O

    African Satellite World and Sat Gear

    Indeed srt 4922 stands still despite of eruption of a number of receivers which appear and disappear in the market,for example best hd,g6,qsat etc..all these tried to challenge srt in vain!
  5. O

    Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

    Tatizo lake aliaminishwa kuwa hiyo rcva anayoinadi ni bora kuliko mnyama srt 4922...kuanzia leo atatamani kujaribu kuitumia hii mashine inayoweza kukumbatia channels 10,000! Mimi nasubiri hizo srt atakazo ingiza toka kenya nakutuuzia kwa bukubuku! Anamasihara huyu jamaa hata bei na ubora wa...
  6. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Huwezi kupata kwa dish dogo la zuku wala la azam,tafuta kuanzia cm 120 nakuendelea na ku yenye nguvu
  7. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Sasa ndugu yangu bila kupata hizo receiver hiyo FTA utaipataje? Huwezi kupata dukani g6 au srt 4922 hapa tz zaidi ya humu ndani ya uzi
  8. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    SRT 4922 Kenya zinapatikana hapa kwetu Tz zilikuwa zinapatikana hapa ndani kwa watu wa fta lakini dukani hazikuwepo!
  9. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Heshima kaka! Tunazungumzia QTV & NTV na kumuuliza mtu yuko wapi ni kutaka kujua mahali alipo na beam ya hizo signal zinamfikia kwakiasi gani ili kukadilia ukubwa wa dish linalotakiwa mtu atumie! Mfano wewe unalalamikia tbc lakini kwangu haijawahi kukata hata siku moja,iko clear kabisa...
  10. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Imetulia vizuri sana kateka,dish ft 6 rcva srt 4922.,ww uko pande zipi za tz na unatumia rcva aina gani?
  11. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Citizen ni mpeg2 na hiyo freq ya kwanza ni mpeg4(Qtv&Ntv),km unatumia mpeg4 na hujapata itakuwa eneo lako unapaswa utumie ft 8
  12. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Zinapatikana Mwanza kwa tshs 30,000/= ila nikipata jina la duka nitakujuza kuna jamaa yangu amenunua hivi karibuni. Ila angalizo: lazima upate fundi mzuri na akomae kweli kwani yahsat,nilesat sio zakujifunzia kutega kaka!
  13. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    3814 v 4213,3862 v 3100
  14. O

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    True,, CITIZEN,QTV NTV ziko clear kwa ft6,location Iringa
  15. O

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Angalia your PM kuna mwalimu alikuwa anahitaji
Back
Top Bottom