nchi ishageuzwa meli ya muhogo. viongozi wamekuwa walafi, wanashindana kuimegua meli wala hawahofii ikizama hatima itakua nini japo they themselves arent equipped with life jackets.
i think we must turn east ( china,singapore etc )for panacea;kuwa mafisadi waadhibiwe na special tribanals,when...