Recent content by ONTARIO

  1. ONTARIO

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    There are some BEAST who are unstoppable brother. Let's see if u can beat someone with that inner burning passion. Najua tatizo si Forex... Tatizo si TMT... Bali tatizo ni Jeff, and Am yet to prove you something. You might think am young, but my soul is old enough... you might think am poor...
  2. ONTARIO

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Unafahamu kuwa hkn pesa yoyote inayotoka nje ya nchi bila kuhakikiwa na BOT?? Kama upo smart kwanini usiende kushtaki kwenye mamlaka unakuja kulia JF.
  3. ONTARIO

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Huku JF unafanya nini wakati TMT tunahold UJ
  4. ONTARIO

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    EVERY HERO HAS SCARS. Sioni hoja ya kujibu hapa, kelele za walio nje ya TMT... J3 class zinaanza ofisini, nawasubiri hao NACTE na BOT kama mleta mada alivyoahidi, tutajiridhisha nani ana shida.
  5. ONTARIO

    Nakemea vikali ujinga, uongo, uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members

    Salute! Haraka haraka bila kupoteza muda niruke kwenye mada husika ndugu zangu... Siku kama 2 zilizopita nilipost uzi hapa JF forums, LINK: Ontario's mere prediction about the future, yajayo yanasisimua.. . Nilikua so much motivated kuweka huu uzi baada ya kutumia muda mrefu kusoma baadhi ya...
  6. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kitu ninachokipenda zaidi kuhusu Internet ni uwezo wake wa kutunza taarifa. Huu uzi utakaa hapa hata wajukuu zetu watauona, natamani pia kungekua tunatumia real Identity zetu ili hata watoto wetu waje waone baba zao walikua na akili gani miaka ya 2018. Naomba niwe na busara ya kua na akiba ya...
  7. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Sasa hivi saa 17.05 nimeichukua hiyo screenshot saa 17.03 ili nikuoneshe kua nimewaambia wanafunzi wangu wanyamaze wakiwa nje ya TMT, hata hawa JF wanaonitetea wanafanya makosa... Kwanini tutumie nguvu kuprove kuwa tunaingiza pesa au tunapoteza pesa, kwanini watu waliopo nje ya TMT wanaumia...
  8. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Am sorry! Naomba unisamehe... sikua nimesoma kwa umakini na kuelewa ulichomaanisha. Niwie sana radhi ndugu yangu. Nami pia nasubiria ushahidi wa mtu niliyemtapeli.
  9. ONTARIO

    Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

    $1450 x 2240 = 3,250,000 Tutatapeli mpaka DSE. Subiri!!
  10. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kumbe hadi wewe?? nilikua nakuhishimu kdg... Hata kutumia tu akili ndogo umeshindwa?? Nipo ofisini kwangu Oyster bay, Jangid Plaza, block G9, floor ya pili, ofisi namba 211 na naongeza ofisi namba 209. Kituo cha polisi Oysterbay kipo mita kadhaa kutoka ofisini kwangu, nikiwa ofisini kwangu...
  11. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    da Vinci Surgery - Minimally Invasive Robotic Surgery with the da Vinci Surgical System Understanding Competitive Threats For Intuitive Surgical
  12. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kinachoumiza watu ni vitu kama hivi, mtu ana miaka 40 anajiuliza inawezekanaje kijana wa miaka 24 aingize mil 6.7 ndani ya masaa kadhaa. Pia kijana huyo huyo wa miaka 24 anaweza kupoteza hata mil 20 na wala hana stress, wakati yy akipoteza tu vimilioni vitatu anaumwa homa wiki nzima.
  13. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kuwepo na hoja zinayoambana na fact, I truly enjoy opposite throughts and actually that's how we scale up our brains... you are so important in this thread, lkn tufike mahali tuwe na staha ya maneno, hata km tunakwazika na mawazo kinzani tuvumiliane na tuendelee kulumbana kwa hoja, sio...
  14. ONTARIO

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kuna hii bookshop mlimani City inautwa MAK ndio nanunua vitabu vingi kwa hapa Bongo. Lakini mara nyingi hua nanunua nikiwa nje ama kuorder moja kwa moja.
Back
Top Bottom