Recent content by ono

  1. ono

    Utumiaji wa snapsim apllication

    Asante mumy
  2. ono

    Utumiaji wa snapsim apllication

    Unamaanisha kwamba haifanyi kazi??
  3. ono

    Utumiaji wa snapsim apllication

    Jamani msaada, Kwa watumiaji wa hii application mimi nimetapeliwa hela na mtu na namba yake inapatikana mpaka sasa. Hivi naweza kutumia hiyo application ili niweze kujua location ya huyu mtu ili nimkamate? Maana inasemekana unaweza kupata message na calls ambazo huyu mtu anafanya bila yeye...
  4. ono

    Jamani nauliza mikopo kama tayari kwa mliochaguliwaa

    buganddo yan. afu majina wametoa jtano hii. imagine unajipanga mda gan sasa apo
  5. ono

    Jamani nauliza mikopo kama tayari kwa mliochaguliwaa

    msaada jaman. naona nimechaguliwa chuo, na kwenda ni tarehe moja october ila sijui mkopo naangalizia wapi na nimepata asilimia ngapi??. kwa mwenye taarifa msaada jaman.
  6. ono

    MD bugando majina haya hapa

    huo mkopa tunaangalizia wapi jaman
  7. ono

    MD bugando majina haya hapa

    kho nw kulipia ni nusu au bado full??
Back
Top Bottom