1. Java
2. Python/Django
3. PHP/Laravel
Hapo sijaweka HTML, CSS/Bootstrap maana sio langauges...
Nikipata muda nataka kujifunza C++ ili inisaidie katika projects za IoT.
Hili ndio tatizo la wabongo wengi!! do you think Java is a rocket science? kwa wenzetu watoto wa miaka 12 wanagonga C na C++ kwa kujifunza wenyewe achilia mbali hiyo Java ambayo wewe unadhani ni lazima mwalimu!!!
Kiuhalisia hiki ndicho kilichonibeba!!!
Nakumbuka niliulizwa maswali kama manne au matano na sina kumbukumbu kama kuna swali nilijibu 100% correct may be swali moja au mawili!!!
Baada ya kumaliza interview nikiwa najiandaa kutoka nje muuliza maswali akasema "I like your confidence" huku akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.