Kwa mtu makini lazima utakuwa umechukizwa na kilichotokea BMK "Sita,Chenge,Samia na ccm " Tujue wanayo kiburi cha madaraka ndiyo maana Rais kikwete amewabariki na wana msemo wao ,'Huu upepo wa siasa utapita tu' kama ilivyopita kwa Lowasa,Chenge,Rostam na ufisadi mwingine na kama haitoshi Mzee...