Recent content by Ongeauchoke

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    Kwa taarifa yako umeme huo haujapita mpaka leo. Hivi ulisha chunguza umeme huo ulikopita kuna majengo makubwa makubwa na watawala kwa kuwaogopa wawekezaji uchwara wa mlimani City ambapo umeme huo ulipaswa upite, eneo toka Ubungo hadi Mlimani City upande huo hakuna watu bali ni pori tupu kwa nini...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    Kwa taarifa yako umeme huo haujapita mpaka leo. Hivi ulisha chunguza umeme huo ulikopita kuna majengo makubwa makubwa na watawala kwa kuwaogopa wawekezaji uchwara wa mlimani City ambapo umeme huo ulipaswa upite, eneo toka Ubungo hadi Mlimani City upande huo hakuna watu bali ni pori tupu kwa nini...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    Hivi Sodoliki umeelewa jumbe?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Huyo mungu wa askofu ni Mungu wa mbinguni au mungu tumbo?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tamko la (mewm) kulaani hujuma anazofanyiwa waziri mkuu mstaafu mh Edward Lowasa

    Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe aliyosema kuhusiana na CCM na utwala wake. Mtayaona mengi, pengine akili za watanzania zitawarudia kwa kuyaona hayo yakitimia. Mungu ibariki Tanganyika.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tamko la (mewm) kulaani hujuma anazofanyiwa waziri mkuu mstaafu mh Edward Lowasa

    Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kak aliyosema kuhusiana na CCM. Mtayaona mengi pengine akili zitawarudia watanzania kwa kuyaona hayo yakitimia.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba auvuruga upinzani Morogoro. Awaasa wananchi kuachana na viongozi wabaguzi, wabinafsi

    Kweli leo nimeamini kuwa mti mbaya kamwe hauwezi kuzaa matunda mazuri. Unaposema kuwa UKAWA wanasaka madaraka na sisiem kung'ang'a madaraka zaidi ya nusu karne madarakani ni nini? Sisiem wamekomba kila kitu, kila mtu yuko hoi kwa ukombaji wao. Hebu wawe wakweli katika chaguzi zote zilizofanyika...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nimetokewa na mauza uza kazini kwangu, naomba ushauri

    Dawa ni rahisi nayo ni kuokoka. Kuokoka ni kutubu dhmbi kutoka moyoni na kumaanisha kuziacha dhambi hizo. Sasa fuatisha sala hii "Mungu Baba, mimi ni mwenye dhambi kwa kuzaliwa na kwa kutenda. Ninakuomba sasa unisamehe dhambi zangu zote na unipe uwezo wa kuzishinda. Asante kwa kuniokoa katika...
  9. O

    JamiiForums Tanzania PPFT: Askofu Kakobe usitumie mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi

    Huyo yeye anayelaumu kuwa watumishi wa Mungu kazi yao ni kuomba tu! Anayajua maombi? Kama yeye anafanya hivyo atuambie anaombea nchi hii mara ngapi kwa siku na anatumia muda gani kuliombea taifa hil? Hiyo PPFT ni nini? Nina wasiwasi kuwa hawa PPFT wanatumiwa na watu ambao wameipoteza Tanganyika...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Wanapohubiri hawsali. mbona unapotosha? Kama wewe ni Mkristo lazima uhubiri. Na ninakuambia hakuna mtu atakayemwona Mungu kwa njia nyingine isipokuwa ya Yesu pekee. Mimi ndimi njia kweli na uzima mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa njia yangu (Yesu Kristo).N kumwona Mungu lazima mtu aokoke.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mch. Kakobe hajawahi kushinda akiwa pekee yake au na kundi lolote

    Mimi ninavyowajua majini huwa wasema kinyume na yale yanayotokea.Tunapotoa majini huwa yanasema sitoki, lakini hatimaye yanatoka yenyewe bila kutaka. Hebu NENDA MAKUMBUSHO UKAONE FORGERY ILIYOFANYWA NA MAJINI WENZAKO WAKALETA UMEME ILI KUDANGANYA MAJINI KAMA WEWE NA WATU WENGINE KWAMBA UMEME...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tuseme kweli: Kati ya Lissu na Mwigulu, nani mwenye heshima mbele ya wananchi?

    Watu wengine huo ushindi wa kubebwa na vyombo vya...., Nec kwa kutokuboresha daftari la wapiga kura! Kama hiyo nec ikifumuliwa tuone kama utauona huo unaita ushindi.Jana tumesoma kuwa book haram walikutana na wana vijiji wenye silaha za jadi wameuawa kama nzige kwa sababu jeshi la Nigeria ni pro...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nabii asiekubalika nyumbani

    Hakuna nabii mwizi. Billion ngapi za walipa kodi wa Tanganyika alizopelekewa Ujerumani? Halafu kuchaguliwna kwake kulikuwaje? Walishindanishwa? au ampendekezwa na hao anaowatumikia kuharibu demokrasa nchini?
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Kama naibu waziri wa fedha aoneshe mahesabu ya mgawanyo wa kibajeti na Mokpo ya nje. Sio azungumze bila data.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Hivi nafasi hiyo imeshindaniwa au kapendekezwa na ccm au serikali ya Tanzania? Vinginevyo kung'ara unakokusema hakuna maana.
Back
Top Bottom