MBEYA:
Wilaya za Rungwe na Kyela
Wanyakyusa
Wilaya ya mbeya mjini.
Wasafwa
Mbozi.
Wanyiha.
Wilaya ya chunya
Wabungu
Wilaya ya ileje.
Wandali
Wilaya ya mbeya vijini.
Wamalila
Mbarali
Wasangu
Momba.
Wanyamwanga
Wakisu na Wanyasa wanapatikana sambamba na Wanyakyusa pia katika wilaya...
Wengi wa hao matajiri hawalipi kodi na hawana mfumo unaoeleweka wa kuwaingizia pesa ndio maana utajiri wao huweza kupotea mara moja au kufilisika haraka na kizazi chake cha pili,tatu na cha nne kutofaidi au kushindwa kuendeleza utajiri zaidi wa familiarity....angalia matajiri wengi wa Arusha...
Hawa polisi inabidi wawezeshwe zaidi,na maslahi kuboreshwa kama inavyohitajika kwa watumishi wote wa serikali ili wasingie tamaa na wafanye kazi yao kwa haki bila stress
Ndio hawajatangaza kwa sababu wanazojua wao nadhani suala la kipelelezi zaidi lakini baadhi yao kwa taarifa tu wameshakamatwa,nadhani ilikuwa rahisi kutokana na mwenzao waliyemwacha,uchunguzi unaanzia pale...hata watu wa cyber bila shaka walihusishwa
Kumbe Moravian nao ni Walokole,mbona sasa Walokole wenyewe wanawabagua haya makanisa ya Kiprotestant chini ya CCT anglican,Moravian,Lutheran na Baptist kuwa hawa si walokole kama wao pentecoste kina TAG na mengineyo ya uamsho
Hii habari ipo kwenye news outlets za ulimwengu mzima ikiwemo vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa kama cnn,AFP,BBC Al jazeera na forum mbalimbali. Wenzetu China serikali yao jana ilikanusha hii habari vivyo hivyo Silinde kama mtanzania anayo haki ya kuihoji serikali yake juu ya hii...
Hii habari ipo kwenye news outlets za ulimwengu mzima ikiwemo vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa kama cnn,AFP,BBC Al jazeera na forum mbalimbali. Wenzetu China serikali yao jana ilikanusha hii habari vivyo hivyo Silinde kama mtanzania anayo haki ya kuihoji serikali yake juu ya hii habari...
kuna wakati hawa wanasiasa inabidi wajifunze kukaa kimya wanapokosa cha kuongea, si kila jambo lazima uongee kama huwezi kutoa mchango wenye faida endelevu kwa nchi.......disappointed on this mheshimiwa!!
http://finance.yahoo.com/news/report-africa-ivory-smuggled-china-124004184.html?soc_src=copy
link mojawapo iliowekwa kwenye yahoo hiyo hapo,pia kuna kuna link nyingine kadhaa kutoka news outlets mbalimbali juu ya habari ya pembe za ndovu............habari iwe ya kweli au isiwe ya uwongo, ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.