Ni mtazamo pia umetoa broh sikupingi lakini wengi wanakwama na zaidi kama ni sekondari apate wa sekondari , msingi apate wa msingi mara nyingine akiwa wa masomo ya sayansi apate wa sayansi hivyo vyote vikwazo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
UHAMISHO WA KUBADILISHANA UNAWANYIMA HAKI WATUMISHI
Nikiwa kama mkereketwa sipendezwi sana na mfumo wa watumishi kuhama (hasa walimu) wanapohitaji kuhama kwa lengo la kupata changamoto mpya na kumudu majukumu yao Katika kazi na familia hukumbana na kikwazo Cha "Tafuta wa kubadilishana kituo"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.