Recent content by Oneonone

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  2. O

    JamiiForums Tanzania “Kafiti hatoshi Ilemela?”kauli ya Rc Mwanza kwa Kafiti “Kukalia kiti nunusu”

    “KAFITI HATOSHI ILEMELA?”KAULI YA RC MWANZA KWA KAFITI “KUKALIA KITI NUNUSU”. Siku chache zilizopita Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, alitoa kauli yenye mashaka na utata ndani yake kuhusu Mbunge wa Ilemela Kafiti William. Kauli ya mkuu wa mkoa ilikuwa hivi, nanukuu maneno yake,” wewe sasa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kigogo TAMISEMI matatani, atuhumiwa kumiliki eneo la wazi ziwa Victoria

    KIGOGO TAMISEMI MATATANI, ATUHUMIWA KUMILIKI ENEO LA WAZI ZIWA VICTORIA Kigogo mmoja Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) akishirikiana na mtu mmoja mkazi wa Jiji la Mwanza pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jiji wameingia katika kashfa nzito ya kumiliki eneo la...
  5. O

    JamiiForums Tanzania ATCL Yazindua safari za mwanza - dodoma, abiria 1300 kwa siku

    ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga. Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wateja wapya 1500 waendelea kuunganishiwa maji Mwanza

    WATEJA WAPYA 1500 WAENDELEA KUUNGANISHIWA MAJI MWANZA Agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kwa watendaji wa Wizara hiyo la kuwaunganishia huduma ya maji safi wananchi limeendelea kutekelezwa. Aweso alitoa agizo hilo Juni 17 mwaka huu la kuhakikisha wananchi walioomba na kulipia kuunganishwa na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Ufaransa wamesaini mkataba wa Tsh bilioni 35.6 mradi wa chanzo kipya cha maji Mwanza

    MKATABA WASAINIWA UJENZI CHANZO KIPYA CHA MAJI MWANZA Katika kuhakikisha huduma ya maji inaendelea kuimarika katika Jiji la Mwanza na maeneo ya jirani Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Ufaransa ( EFD) wamesaini mkataba wa shilingi bilioni 35.6kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Waziri Aweso Mwanza, huduma maji safi yarejea awaonya watumishi

    KAMBI YA WAZIRI AWESO MWANZA, HUDUMA MAJI SAFI YAREJEA AWAONYA WATUMISHI Kambi iliyowekwa jijini Mwanza na Wazir wa maji Jumaa Aweso, imeleta manufaa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya huduma ya maji safi kurejea katika maeneo mbalimbali. Baada ya kambi hiyo ya siku nne Jiji Mwanza...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mfanyabiashara Basil, aendelea Kusota gereza la Butimba

    Soma tena uelewe sio kuandika bila kusoma na ukaelewa
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mfanyabiashara Basil, aendelea Kusota gereza la Butimba

    KESI YA MFANYABIASHARA BASIL AENDELEA KUSOTA BUTIMBA Kesi inayomkabili Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam, Basil Kyando, imehairishwa kufuatia wadau muhimu katika kesi hiyo kutofika mahakamani. Kesi hiyo namba 10606 ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Joseph Njiwapori na mwenzake mmiliki kiwanda cha Nyamagara Fishing LTD wakamatwa

    JOSEPH NJIWA PORI NA MWENZAKE MMILIKI KIWANDA CHA NYAMAGARA WAKAMATWA Familia ya Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam inailalamikia serikali kwa kumkamata na kumficha kwa siku nane ndugu yao. Familia hiyo inadai baada ya...
Back
Top Bottom