Hata ikipitishwa ujue ni kwa ajili ya maandamano kuna marekebisho kadhaa ishaafanywa. Tena Ina maana serikali itakuwa na uangalifu fulani baadae kabla kufanya jambo linalowahusu raia!
Mimi mkenya hapa. Mjadala wako ni wa tija mno ila ukifuatilia vile wenzako wanachangia unapigwa na butwaa hadi huruma tuu. Kwa hizi akili na vile tunahamasisha biashara baina ya waafrika (intra-african trade), kuna kila sababu ya kukiri bado waafrika tuko na safari ndefu sana. Kama kuna mtu...
Ungekuwa umesoma na kuelewa chenye mleta mada ametundika hapo juu. Hilo swali lako ungekuwa umejijibu. Sio Ruto amewasimamisha kwa mamlaka yake. Yeye kashurutishwa tuu kisheria.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Ni bora ungeuliza mwanzo kabla kuharisha huu utumbo wako hapa. Mimi ni mkenya na ningependa kukujuza sababu ya stesheni tofauti kuonyesha matokeo yasiyo wiana. Tume ya uchaguzi imeweka wazi tovuti yake kwa kila mwenye anataka kufuatilia matokeo ya vituo...
Licha ya kuwa haifai kushindana kuhusu nani mbabe kwa kuongea lugha za wenyewe, lakini mkapa hawezi mshinda proff Lumumba ama marehemu makamu wa rais kijana wamalwa. Hilo nakuhakikishia. Hadi hujamsikiza Maina Kageni wa classic redio hapa Kenya.
So you mean
I know it's the term I used that's challenging you 🤣🙈. A remittance is a payment of money that is transferred to another party. Can also be reffered to as money being sent from abroad. These set ups pay land rates, consumes local electricity, water, fuel to their cars, buys from...
Na unauliza?. Headquarters mean more consumption of goods and services. Monthly remittances in water and electricity bills, land rates, creation of jobs etc.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.