Recent content by onecmo96

  1. O

    iPhone4s for Sale...

    iPhone 4s for sale Black in colour font camera 5.0 Rear cmera 8.0 RAM 16 GB price : 250,000 mawasiliano: 0674329928
  2. O

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina iPhone4s black...iko vizuri sana ...imetoka US Nichek tufanye biashara 0674329928
  3. O

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Asanteni sana kwa wote mliosaidia kupatikana kwa ndugu yangu, ni kweli ni ndugu yang kabisaa from the same father... May Lord blesa yo'all ... Appreciating on JF
  4. O

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    aaah am 18 ,mwambie osaka anipatie namba yake,ya kwqngu ni 0674329928 .. Hope to hear from you,Soon!
  5. O

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Tuwasiliane kwa namba 0674329928
  6. O

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Karibu sana ndugu yangu... Mimi naitwa Onesmo Gerson Jacob Kassanga..Ni mtoto wa mr.Gerson jacob kasaanga,ambaye ni mfanyakazi katik kampuni ya magari iitwayo Nyumbu-TATC,ILIYOPO katika kambi ya jeshi ya nyumbu kibaha...sifa zote ulizozitaja ndizo alizonazo baba yetu... Tuwasiliane sasa ...
  7. O

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Karibu sana Ndg yangu.. Mimi naitwa Onesmo Gerson Jacob Kassanga,ni mtoto wa mr.gerson jacob kassanga ambaye ni mfanyakaz wa kampuni ya magari iitwayo Nyumbu-TATC iliyopo kibaha katik kambi ya jeshi...ni wenyeji wa sikonge - Tabora. Na sifa hzo zote ulizozitaja ndizo za baba yetu... Naomba...
Back
Top Bottom