Hapo inategemeana na aina ya Nyumba yako(complexity) ila kawaida huwa natumia rate ya vyumba kwa mfano sebule, Jiko na dinning inakuwa 50k-100k vyote kwa pamoja pia kwa kila chumba kinachoongezeka inaenda 50k
Hiyo ni kwa Nyumba za kawaida(single storey) ila kama ni ghorofa Kuna utofauti.
NB...
Habari wanajamii forums,
Kwa wanaohitaji ramani za Nyumba nzuri na za kisasa zinapatikana hapa na kwa bei nafuu zaidi, unachotakiwa kufanya ni kutupatia wazo(idea) ya Nyumba yako unavyotaka iwe pamoja na ukubwa wa kiwanja chako kisha utachorewa ramani ambayo ina michoro yote inayohitajika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.