Recent content by one b

  1. one b

    KERO Hivi ni sahihi CRDB kukata mkopo wao kwenye pesa ambayo sio mshahara?

    mkuu itake Radhi crdb..yaani hii bank inakuja juu haswa…yaan ipo vizuri sana…tena kwenye masuala ya uwekezaji wa hisa ndio usiseme…haipo taasisi ya fedha inayo fikia crdb kwa ukuaji wa kasi..
  2. one b

    Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    Binafsi naiombea sana Tanzania yangu…mpaka tulipofikia hapa…ni chizi tu labda ajitoe ufahamu kutojua tumefikaje hapa? Ifike mahali tuamin kwamba kweli ccm ni chama chenye serikali kwa muda mrefu lakin nao wakiri kwamba kuna namna walichanga karata zao vibaya either kwa makusudi kwa kutumia...
  3. one b

    TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal

    B.O.T kitu gan hapo..hao vilaza kibao tuu hapo…kuna michezo ya pesa ndefu hapo hata forex irudi nyuma..ni vile tuu ngozi nyeusi ilinyimwa utashi..
  4. one b

    TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal

    kajinga sana..kuna mada yake siku moja alikuwa anaitetea tokea siku hyo maswala ya financial issues ni mtupu kabisa
  5. one b

    PostGE2025 Furaha niliyo nayo leo inafanana na ile ya tarehe 17 Machi 2021. Rais Samia leo umenifurahisha

    wazee marufuku kusaidiwa…hata kwenye dala dala hakuna kuachia seat
  6. one b

    TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal

    forex aijulie wapi hyo mweupe tuu..
  7. one b

    PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

    Hayo makofi yanayo pigwa na wazee..marufuku wazee kuachiwa seat kwenye daladala…marufuku
  8. one b

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    kausha basii…lakini tumemuelewa ivo ivo…😂😂😂
  9. one b

    PostGE2025 Naibu Waziri Wanu aagiza kozi fupi zilizositishwa VETA zirejeshwe

    atajuaje wakati yeye ndio zilizo mfikisha hapo…
  10. one b

    PostGE2025 Kijana anayejiita Habili au Khabili atashtakiwa kwa kosa la kuvunja Sheria za ndani na nje ya nchi

    Kwa nini umekuja jamii forum kwa kutumia VPN ilihali unajua ni kosa kisheria?
  11. one b

    Walioachiwa kwa uhaini: Gerezani tuliishi kama familia, hata ije chapati moja tunahakikisha kila mmoja anapata

    kupitia uzi huu tu… utaona watu wengi sana hawajui vitu vingi sana kuhusu getezani…na wengi wanachanganya hivi vitu vitatu…hawajui tofauti ya gereza…korokoroni na mahabusu…ukivijua hivi vitu vitatu basi utawaelewa wale mahabusu…Gerezani chapati, biscuits, vinatoka wapi??? labda siku ya jumamosi...
Back
Top Bottom