Recent content by onctyjr

  1. O

    JamiiForums Tanzania Makelele ya ngoma usiku wa manane

    pole sana, Kwaida wachawi ukiwa mgeni wanatabia ya kuchokoza watu wakupime kama unanguvu za kumsumbua au huna. Ushauri wangu usisumbuane nao, Ukiweza hama kama hali itakuwa inajirudia rudia. Mwisho nifollow nakufollow
  2. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Fungia vyama vya siasa, zuia wanahabari, funga makanisa na teka wakosoaji. Ushauri huu ni wa nani na mwisho wake ni nini?

    Ni ushauri wa wahuni. Ambao wanatetea maslahi yao. Tatizo ni kuwa tumeweka nyuma Utaifa tumetanguliza mbele kula yetu. Sio rahisi, sio wataalam, wala wanausalama. Kigezo cha kuwa raisi awe Tajiri mwenye nguvu kiuchumi ni point kubwa sana.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    kaaz kwel kwel Soda moja ina vijiko 12 vya sukari, bia moja ina kacalories mara dufu ya zilizopo kwenye sukari utachagua ufe na kipi. Vyote vina uwa figo vizur tu
Back
Top Bottom