Recent content by oncogene

  1. oncogene

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Kwahiyo ndo viwanda mnavyotuletea?!
  2. oncogene

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Hivi yule aliyepiga simu clouds akasema anawapenda sana shilawadu ni wa chama gani tena?? Nalog off nikirud naomba nikute jibu
  3. oncogene

    JamiiForums Tanzania PICHA: Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Manispaa ya MUSOMA

    Pako chini ya ccm
  4. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Excellent! I've learnt something from your answers [emoji13]
  5. oncogene

    JamiiForums Tanzania RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

    Anajitetea tu huyo ila alizingua, halaf mbona alietangaza kuhusu zika virus alitumbuliwa, ccm wanataka nini?? Anyway viva ccm viva [emoji1] [emoji2]
  6. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Hapana u had two options and you chose neither, siyo mbaya lakini unaweza kulisoma tena swali then ukajibu
  7. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Wapuuzi ni washenzi sana, hawaishiwi mbinu
  8. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Umejibu vizuri, lakini nasikitika kusema hujajibu nilichouliza
  9. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Hapo ongezea na bomoabomoa ilofanyika juzi usiku huko buguruni, kweli wana imani na ccm
  10. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Mliowafukuza sababu ilikuwa nini labda tuanzie hapo kwanza?!
  11. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    We uko upande wa wengi au wachache?!
  12. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Siasa ya Tanzania ni matukio, mkipuyanga upinzani lazima watawasema tu, na upinzani wakipuyanga hadi matusi mtawatukana kuonesha furaha iliyopitiliza ila kimsingi mmepuyanga na ndo mda wa wapinzani kuwachokonoa na kuwakejeli, na mkae mkijua watanzania wanasubili hatma ya bashite.
  13. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    Ndicho wanachokitaka hili kweli chama la kibabe
  14. oncogene

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikifanikiwa na kudumu zaidi ya miaka 20 Ijayo

    We endelea kutabiri ivoivo
  15. oncogene

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ndani ya CCM ni tishio kwa uhai wa upinzani.

    Umetumwa siyo bure, kama hujatumwa basi uko ofisini
Back
Top Bottom