Recent content by onana1

  1. onana1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Wakuu kama title inavyojieleza, kuna rafiki yangu ambaye amepata matatizo na amehangaika makanisani miaka na miaka lakini tatizo ndio kama linaota mizizi. Mimi ndie kama ndugu yake na msaada wake anaetegemea (Hana msaada) so najaribu kuhangaika sana ila nimeona ni bora nishirikishe wadau ili...
  2. onana1

    JamiiForums Tanzania Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Ivi kuna ushahidi kuwa alikua ni mateka wa Hamas? Au taarifa kamili inayoeleza kifo chake kimesababishwa na nini au amefariki akiwa wapi( Gaza au Israel)? Taarifa imetolewa bado haijitoshelezi so haipaswi kutupa lawama kwa Israel wala Hamas. Ku'judge kitu bila taarifa kamili ni upumbavu tu kila...
  3. onana1

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

    Unalinganisha mfungo na skukuu? Madness[emoji88] Labda ungesema Eid na X mass ungekua una maana
  4. onana1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

    Kwanza niulize ni kwanini wengi wanaopigania haki flani ambayo ni halali kwao huwa wanaitwa Ma-terrorists na Western countries hasa Marekani?
  5. onana1

    JamiiForums Tanzania Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Taking>>>Talking
  6. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Bro mashabiki wa Ronaldo wamechanganyikiwa imefika hatua wanaforce Opinions kuwa Fact.
  7. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Kwani anaekuwa mchezaji bora wa league pekeake ndo tunaweza kusema ana stats nzuri? Yani unachomaanisha wewe ili tuseme mchezaji ana stats nzuri ni lazma ashinde mchezaji bora wa league? Daah kama hiyo ndo hoja yako basi itakua ngumu sana ku'argue na wewe
  8. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Tunaangalia mafanikio bro hatuangalii kayapata wapi.. btw WC ni major Tournament kuliko hiyo league1. Alafu nakukumbusha kuwa Messi anayo stats nzuri sana tu kwenye league one[emoji1] kama itakupendeza sema nizilete
  9. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Messi is clear of all mfs.. Haaland kafanya vizuri sana ila Messi anakuja kumzidi kwenye individual achievements kama ni mataji makubwa kila mmoja amewin hata kina Alvareź. Tatizo wacha-MBUZI uchwara wa humu JF ni Messi haters (Ronaldo Fans) mnatafuta furaha kwa mgongo wa Haaland
  10. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    In a simple way
  11. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Haaland [emoji838] 53 Apps [emoji460]️ 52 Goals [emoji2402] 9 Assists [emoji471] FWA Footballer of the Year [emoji471] PL Golden Boot [emoji471] PL Player of the Season [emoji471] PL Young Player of the Season [emoji471] UCL Team of the Season [emoji471] UCL Forward of the Season [emoji471] UCL...
  12. onana1

    JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Watu wengi wanaompigia debe Haaland ni mashabiki wa Ronaldo wenye chuki na Messi.. Kiuhalisia Messi anadeserve Ballon D'or ya 8 kwa sababu ana achievements katika -club level, -National club level -Has won many honours than Halaand -Mchango wake umeonekana moja kwa moja kwenye kutwaa WC...
  13. onana1

    JamiiForums Tanzania Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Unafkiri wataipata vipi haki bila kupigana?
  14. onana1

    JamiiForums Tanzania Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Kuna waislamu walikuwa wanashabikia?
  15. onana1

    JamiiForums Tanzania Israel wajiandae na tetemeko la 'Middle east' watakapoingia Gaza - IRAN

    Ahaa sawa ulishawahi kupitia pitia pia historia ya hawa Wafilisti ambao wanadai eneo linalokaliwa na Israelis ni la kwao??
Back
Top Bottom