je? kwa sisi wanafunz wenye mitaj midogo mfano 200000 ni biashara gan twaweza kufanya ambazo hazitaitaj mda mwing katika usimamiz ili niweze kupata mda mwingi wa kusoma shule yaani izo biashara zenye return nzuri
ahsante members
ukosefu wa ajira n tatizo linalodhihirika pale nguvu kaz inapokosa sehem ya kazi wakati wa uhitaj.ili kuondoa ili tatizo yafuatayo yafanyike
1)mfumo wa elimu urekebishwe kulingana na specialization na vipaji toka ngazi ya chini yaan kindagarten na wahitimu wa ngaz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.