Recent content by Omwisijo

  1. O

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Nape anatamani jambo jema Elimu ipo Kwa ajili ya kuwapa watu maarifa. Tunahitaji watu kama hao wanaothubitu haya mambo yakiwa magumu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Ukikuta mtu anamkashifu Mwalimu mchunguze vizuri na huenda anakotokea ni ukoo wa mazwazwa. Kumfharau Mwalimu ni kiwango Cha mwisho Cha upumbavu. Kupeleka watoto Kenya hakuna ulichosaidia labda uhamie kanisa huko maana Kila nchi Ina utamaduni wake.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wana Mbeya Kumkataa Sugu na Kumkumbatia Dkt.Tulia, Maendeleo yaanza kumiminika

    Eti Maendeleo yaanza kumininika Tetetetete!
  4. O

    JamiiForums Tanzania 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Na wewe n'atuka kuandika taarifa zako humu
  5. O

    JamiiForums Tanzania TEC yote ikimkana Papa Francis kuhusu Ndoa za Jinsia Moja tutaamini hata kwenye DP World walikuwa serious!

    Wasio watumishi wa Mungu mtawajuwa Kwa matendo yao
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Ukombizi hufanywa na watu wachache hauhitaji wingu la watu IPO siku ukombizi utapatikana
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dodoma. Hayati Magufuli ni mbeba maono

    Hatuhitaji maono ya mtu tunahitaji maono ya nchi.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    Kuuwa vyama sio tija wakati nchi zilizoendelea zinawaza kwenda anga za juu sisi tunajadili kuuwa vyama.Huu ni upumbavu sana.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    UTABIRI Fweki
  10. O

    JamiiForums Tanzania Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Utab
  11. O

    JamiiForums Tanzania Sio CCM, Sio Rais Samia wala TANESCO wanaleta mvua, Umeme wetu ni Hydroelectric power tuvumilie inyeshe

    Tukiwa na watu wajinga kama wewe ni hasara sana. Mbona nchi kama Misri ni jangwa na hakuna mvua lakini umeme haujawahi kukatika. Mfikie wakati muwe mnafikiri kabla ya kuandika takataka zenu humu.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hakuna Kijiji kitakwenda Upinzani pia Uchaguzi mkuu wa 2025 kura zote kwa Rais Samia Suluhu

    Wanaochagua viongozi ni wananchi ambao ndio wenye dhamana ya kuweka viongozi madarakani vyama kazi yake ni kama dhamana tu hivyo hakuna aliye na haki ya kusoma mioyo ya wananchi na kujuwa watamkubali nani. Mtu akiingia madarakani bila ridhaa ya wananchi ambao Mungu huwatumia kuweka viongozi...
  13. O

    JamiiForums Tanzania CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

    Kama vile ulivyo zombi
  14. O

    JamiiForums Tanzania CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

    Kama walimu hawajielewi na wamekufundisha basi wewe pia hujielewi.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Tutafute Hela Kwa njia ya Hali siyo haramu
Back
Top Bottom