Recent content by Omurushaka

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kuku wa nyama wataanza kupatikana hivi karibuni

    Napenda kuwatangazia kuwa kuanzia tarehe 5 mwezi ujao tutakuwa tukitoa kuku wa nyama kuanzia 1000 tunapokea tenda kuanzia kuku kumi tutakufikishia katika eneo lako la kazi au ofisini kwako bei yetu ni 5500 shamba liko maeneo ya chanika Mawasiliano 0714482536,0716282015,0655301590
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    ah Ahsante mbegu yenye kutoa mazao yanayokubarika sokoni la ndani na la nje
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu horticulturist fafanua hiyo milioni tatu kwa kirefu kidogo...Tujue bei ya mbole na inahitajika kiasi gani kulima shamba nk
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya vidonda vya tumbo.

    Nina dawa ya vidonda vya tumbo.Nahitaji kuisajiri iweze kuwasidia Watanzania na Wasio Watanzania.TAFADHARI MWENYE KUJUA TARATIBU ZA KUSAJIRI DAWA NAOMBA ANISAIDIE. NB:NI YA ASILI/KIENYEJI INATIBU KABISA.AHSANTENI
  5. O

    JamiiForums Tanzania Sabuni za mafuta ya mise

    SABUNI ZA KIGOMA,ZAMAFUTA YA MISE(MAGADI) Zinapatikana kwa sasa Dar-es-Salaam,Morogoro, na Pwani. Zinatengenezwa kwanjia ya asili kwakutumia mafuta ya mise. Matumizi yake ni; Mfano - 1. Kufulia 2.Kuoshea vyombo... 3.Kuogea Sifa za sabuni hizi 1.Ninzuri kwa maji ya chumvi povu haipotei...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Sabuni za mafuta ya mise zinauzwa, Karibuni

    SABUNI ZA KIGOMA,ZAMAFUTA YA MISE Zinapatikana kwa sasa Dar-es-Salaam,Morogoro, na Pwani. Zinatengenezwa kwanjia ya asili kwakutumia mafuta ya mise. Matumizi yake ni; Mfano - 1. Kufulia 2.Kuoshea vyombo... 3.Kuogea Sifa za sabuni hizi 1.Ninzuri kwa maji ya chumvi povu haipotei ukilinganisha...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Nami nataka kusaidiwa katika hilo mkuu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Heka moja ya shamba inaitaji mbegu za viazi kiasi gani?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Mishe gani hiyo mkuu wiki mbili inaingiza mzigo huo?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    hiyo nyomi ya chato watu wametoka geita mjini, katoro, buseresere,kwa usafiri wa bure kwenda na kurudi magari ya matangazo yalipita hapa katoro
  11. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    niko katoro hapa broo watu wamepelewa chato bure na matagazo yamepita kuwa usafiri kwenda na kurudi bure sasa hiyo nyomi sio ya watu wa chato pekee
Back
Top Bottom