Recent content by Omulashan

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Binafsi siku zote namtambua Antony Rusekelo kama mfanya biashara kwa kutumia neno la MUNGU. anasema hivo huku akijua fika kuwa yuko kinyume kabisa na biblia takatifu na huku yeye ni mkristo ( Kwa muonekeno wa nje) Anaongea hivo ili wanaume wapenda wanawake au wadada ambao hawajaolewa wafurike...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

    unaweza u kamtangulia. fahamu, mtu kuwa na VVU si tiketi ya kufa kama unavyodhani.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya watumishi wenye vyeti vyenye utata, msaada please!

    tuma na ile ya wale ambao wana incoplete
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya watumishi wenye vyeti vyenye utata, msaada please!

    Asante kwa kutuma hii yenye utata! naomba kama unayo ya wale ambao ni incoplete tutumie
Back
Top Bottom