Recent content by omujubi

  1. omujubi

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Saddest point ni kuwa hawa wote wanaoyafanya haya huwa hawana muda wa kusoma vitu kama hivi (hata robo yake). Wangekuwa wanafanya hivyo basi hii nchi ingelikuwa mbali sana kimaendeleo. TL hapiganii wanae, mkewe, shemeji zake au washikaji wapate upenyo wa kula rasilimali za nchi, na kikubwa...
  2. omujubi

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Maamuzi mengine yapo yapo tu na wanaoyatoa huwa wanawaza siku wanayoishi bila kuiwaza kesho yao huku ajabu wakisoma references za miaka 150 iliyopita na wasijiulize wao watasomwaje hiyo miaka 100 ijayo! Mfano ile kesi iliyomfunga Joseph Mbilinyi (Sugu) baadae ilikuwa posted kwenye mitandao na...
  3. omujubi

    Kimewaka! Mawakili wa Tundu Lissu waunguruma kwa ukali, watoa kauli nzito ya unyama unaofanywa kwa Lissu

    Nimetumia muda leo kusikiliza wimbo wa 'house of exile', nikaguswa zaidi na pale anasema ...."he had a home onetime" ...."for love of the national" ....a 'foregin country', ni ukonga au? maana ana nyumbani kwake Bado naendelea kutafakari huyu mtu kakubali manyanyaso yote haya kwa nini...
  4. omujubi

    GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Nilitokea tu kusikiliza maonngezi ya Polepole jana usiku, alisema mwandishi Balile aliingia mitini na natumaini atakuja kutufafanulia hilo (maana anajiita mwandishi nguli). Na wale waandisshi wawili waliokuwa naye niliona wako na hisia zaidi za uchawa na wanaongelea zaidi watu/mtu badala ya...
  5. omujubi

    Kiwango Cha Wanafunzi wanaofeli "DISCO " Chuo Kikuu Kinatisha Licha ya kwamba Walifaulu A Level Kwa Maksi za Juu

    Aisee! Hivi Division 5 bado ipo au inatumika division zero kama awali!? Wanaoita katiba kijitabu unaweza kulinganisha na hili, katiba imara ni nchi imara na mfumo wa elimu sahihi ni ule wa kutoka chekechea hadi PhD. Sasa katika mfumo wa sasa ambao watu wanasoma PhD part time kwa miaka miwili ni...
  6. omujubi

    KERO Walinzi SUMA JKT vituo vya SGR kukagua nguo binafsi wakati begi limeshakaguliwa na mashine si ustaarabu

    Watu wengi katika kazi hasa za kuajiriwa na umma reasoning yao ni ndogo sana. Sanasana hapo ukiwauliza watakwambia "sheria ndivyo inataka" na akitokea mwanasiasa kesho yake akaongea tofauti utassikia wote wanafuatishia hivyo. SGR ni domestic na scanner zina uwezzo wa kuona kitu cha hatari kuzidi...
  7. omujubi

    GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

    Kwa hiyo mikoa walio na wapinzani ni ya act au cuf!?
  8. omujubi

    Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Huu ndio msingi wa sisi kufika mbali ila kwa hapo ni kutendeneza umasikini zaidi. Hii falsafa ya kumuondoa aliyekuzidi kwa kudhani wewe utakaa mahala pake imefanikiwa sehemu chache sana. Privileges zingetolewa kwenye mifumo kama leseni, mikopo nk
  9. omujubi

    Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    Kwa hiyo TPA ndio wanataka wakasimamie hii baada ya 'kurasimisha' iliyowafanya wapewe jina hilo!
  10. omujubi

    Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    Kabisa. Walau badala ya kuendelea kucopy kauli za akina Che Guiara, Bob Marley, Luther King na wazungu wengine sasa tuna nukuu kutoka kwa shujaa wetu wenyewe na mwenye akili na vitendo
  11. omujubi

    GE2025 January Makamba: Changamoto niliyopata ni kuwaeleza Watoto wangu ambao ni Gen Z na baba yangu mwenye miaka 88 kwamba Nimekatwa Ubunge

    Bora wengine wazee wao wana umri kama huo huo na watoto wao wakifail au kuwekwa magereza bila kushitakiwa pressure wamezizoea na wanaishi! ...au wamekufa!?
  12. omujubi

    Halima Mdee aliwahi kuvunjwa mkono na Askari magereza baadae Shujaa akambariki kuongoza wabunge wa Covid 19

    Aisee! Kwa hiyo na mahakama au mawakili wa dola inabidi waweke sheria na utaratibu pembeni ili watimizie unabii!? Au pale inapotakiwa kutumika AI mwaka 2025 tutumie methodology ya mwaka 1460, miaka 600 nyuma!?
  13. omujubi

    GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

    Aisee! Barikiwa sana kwa kuwa na upeo mpana kiasi hiki katikati ya nci iliyojaa wajinga
  14. omujubi

    GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

    Sisi watanzania weni wetu ni makatili sana, na bora ukatili huu tungeufanya ili kutetea chi yetu lakini ajabu ni kwa maslahi ya kimwili (material gain). Laiti Lissu angeiba kura kupata uenyekiti basi ni haki watu kufanya wanayofanya lakini alichaguliwa wazi kabisa na sasa yuko jela basi...
  15. omujubi

    GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

    Ni sawa, lakini hayo maslahi kweli yanapita hadhi ya mtu kufikia level ya ujaji!? Ni heshima kubwa sana kimaadili kuwa judge, let us hope kwamba maslahi hayo ni ya kimaadili na si vyeo, nyumba, gari, mashamba, wanawake nk ambavyo hata ukiiweka kwenye malengo mwisho wake they all perish. Angallia...
Back
Top Bottom