haya zaman ckuyaona kuimba wanawake na maendeleo ndo kapita ngaz zote hzo!! mbona lady jd anaimba kulko yeye na hajashika ubunge wa vt maalumu?? au kuna kitu kingine ambacho alikuwa anajishughulisha nacho naomba mnieleweshe wadau.
kweli ridhiwani yuko tofauti sana makongoro hivi kwa nini????? R.I.P MWL.NYERERE endelea ridhiwani kuponda pesa najua kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji ila jua SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.