Recent content by Omnibu

  1. O

    Hadi Madalali wa Kichina? Shida huenda ni uzezeta wa Watanzania, Mbona Nairobi hawapo hao Wachina?

    Nimependa ulivyomalizia kwa kusema, Kuna shida sana upande wetu sisi wenyewe watanzania.
  2. O

    Picha: Kulikoni!

    Itachukua muda saana
  3. O

    Chato kuwa kituo cha muda kwa majeshi ya SAMIDRC kurejea makwao kutoka Congo

    Kama walipata.muda wakufanya mapenzi mpaka kutiana mimba wao kwa wao, Unategemea nini hapo?
  4. O

    Fahamu kwa undani tofauti kati ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kati ya Marekani na Tanzania

    PCI ya Tanzania: Dola 1,300 kwa mwaka ambayo ni sawa sawa na Dola 108 kwa mwezi ambayo ni kama Shilingi 278,000/- tu Hii itabaki kuwa nadharia tu Kama ingekuwa kweli basi tusingekuwa na watu ambao wanakufa kwa njaa au kukosa hela kidogo ya matibabu
  5. O

    Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Kwa urefu huo na miaka yake mmh hapo.shughuri ipo, wakina Emolo huwa wanashabihiana sura zao,kama naye ni hiyo sura hapo ndio mwisho.
  6. O

    Nani Kamficha Gwajima? Ukweli Wajulikana!

    Mkuu hivi kanisa lilikuja kuruhusiwa kuendelea na huduma?
  7. O

    Njia tano za kutengeneza pesa elfu kumi kila siku kupitia simu yako

    5. KUWA AGENT WA KUUZA BUNDLE ZA MITANDAO YA SIMU 👉 Hii ni njia rahisi sana, watu wengi hawajui kama unaweza kutengeneza pesa hapa. Unakuwa wakala wa kuuza bundle za internet kwa marafiki zako, ndugu zako na wateja wengine. Mfano: 👉 Bundle za internet za voda 👉 Bundle za sms 👉 Bundle za dakika...
  8. O

    Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

    Hii simu ilibamba sana ilikuwa sio ya kila mtu enzi hizo
  9. O

    Askofu Msonganzila: Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani?

    Nilikuwa naangalia Citizen tv ya Kenya jinsi wabunge ndani ya bunge wavyowabana idara ya polisi kwa mauaji ya somebody.Ojwanq unaona kweli kunauwajibikaji.
  10. O

    Tujifunze

    Bado mapema, Chini ya jua kila kitu kinawezekana
  11. O

    Tujifunze

    Ujumbe mzito sana huu, ila binafsi namshukuru MUNGU kwa kunijalia mtu anayenijua vyema.
  12. O

    Picha: Kulikoni!

    Mwenye nguvu mpishe
Back
Top Bottom