Recent content by Ommyjs

  1. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Ukawa leo imeimalika zaidi, ahsante mungu.

    Ukawa ndo mpango mzima mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu kampala kwa ujinga na uboya waliotufanyia hakuna mtu anaetaman ht kuisikia ccm kila mtu ni EL na mwaka huu lazima mawe yageuke mikate ✌
  2. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    tikitaka men tafuta gazeti la mwananchi la wiki iliyopita ijumaa chuo cha kiu wametangaza nafasi za masomi utaona mapungufu yafuatayo; 1. Wamesema certificate na diploma waombe kupitia nacte lkn ktk vyuo vya nacte kiu haipo cjui wanaomba vp hapo. Yaan n sawa na ww nikuambie nenda kachukue pesa...
  3. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Hao wamemaliza mwaka huu mwez wa pili na mpk sasa wapo mtaani tuuu hawana ajira na hawawezi kupewa kwan hawana competence yeyote na wala hawajui kitu kutokana na kwamba wamesoma hawakufunzwa na wala hawajui kitu ndo maana hawajapewa leseni mpk leo
  4. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Hivi kwa akili ya kawaida tuuu km makamu mkuu wa chuo anakaa mbele ya chombo cha habar na kudanganya ummah kwa mfano kusema km hakuna kozi ya awali au bridging course wakat bado ipo na inafundishwa haitish kuwa sababu ya kukufanya utambue kwabn hatuna iman nao? Maana wametudanganya sana na sasa...
  5. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    martinejr umesema vizur watanzania na wanaharakat kwa pamoja ungeni mkono hili kwa maslah yenu wenyw huko msije kukatishwa maisha kizembe na madaktar wasio na sifa
  6. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Mfamasia mwaka wa2 hajui ht panadol inaundwa na nn? Halafu mnasema tupo kisiasa sisi pale wakat tunadai fact na mustakabali wa taifa la baadae
  7. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    NAfurah kuona sasa umenielewa na umejua nn kipo nyuma yake hao ni wajinga na unajua tatzo weng wamemaliza tuuu form 6 wanakuja chuo hawajui changamoto za ajira kabisa hvyo wanadhan wakimaliza watafanya tuui kazi kiboya km nchi za baba yao hizi
  8. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    MM nmekujibu tikitaka men hapo juu bila shaka umeelewa
  9. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    tikitaka men najua unaelewa kilichopo kiu ila hoja zako sio za msingi hizo baraza la udaktar liliiywa chuoni halikuja baada ya kulifuatilia wakasema hatujawah kupokea barua ya kiu wakiomba usajili ktk bofi hyo na hvyo hakuna usajili huo ila medicine weng wao wanaona n bht ilioje kusoma udaktar...
  10. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Mtu wa shahada ya maabara anaingia wanazoziita maabara za kiu wanaambiwa wachore microscope ktk practical manual badala ya kupewa hizo microscope wazitumie kufanyia majaribio na kujua namna ya kupima magonjwa mbalimbali bado unasema fitna pale? Kwan pharmacy council wanavyuo wale kusema watakosa...
  11. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    IMTU hakuna hospital?! Hakuna chuo kikuu tanzania hii kinachotoa kozi za afya hasa udaktar na hakina hospital ila kiu na km kipo unakijua kitaje hapa na nakushangaa ukisema tunapotosha watu wakat watu wanajua km imtu hospital na unapotosha hapa na kwa taarifa pale kuna mabingwa wa neurosurgery...
  12. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Tanzania sometimes inachekesha!! Tcu iliruhusu vipi udahili wa wanafunzi kwa fani ya udaktari, famasia na maabara kuingia chuo Kikuu cha Kampala, wakati ikujua ya kwamba Mabaraza ya taaluma kwa fani hizo Tanzania haikitambui chuo hicho kama chuo Halali kwa kutoa fani hizo. Leo hii...
  13. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Watanzania mtambue wazi kiu wanaandaliwa wauwaji wa kitaalam pale na bila shaka hii dhambi itatula watanzania wenyewe maana ikitokea kwa kuhonga watu wakasajiliwa watakuja kutibu km si mzazi wako basi mkeo au mumeo au ndugu yako na hapo ndo utakapokuja kujuta kwann hukutetea mapema hiki kitu na...
  14. Ommyjs

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Nashangaa nikimuona mtanzania anaweza kukaa na kukisifia kiu ambacho ukiacha majengo hakina sifa yeyote nzur, na ww hujitambui unaesema chuo kimesajiliwa kasema prof. Mgaya wa tcu kwan tcu hawana kaz ya kusajili vyuo hapa nchini na bodi zote zinakili hazijakisajili chuo sijui unatoa wapi ujasiri...
Back
Top Bottom