Recent content by ommsal

  1. O

    Mabinti huwa mnahitaji nini?

    kuna wengine unaweza wapatia kila kitu na bado wasitulie nao wanahitaji nini?
  2. O

    Haki za wanyamakazi

    Habari zenu wadau. Katika pitapita zangu baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa nimejionea jinsi wanyama kama punda na ng'ombe wakifanyishwa kazi ngumu sana!!!, na inashangaza kuona wanaadamu tunafanya ukatili mkubwa kwa wanyama hawa, Naomba kujua haki na vyombo vinavyohusika kutetea haki za wanyama...
  3. O

    Salaam

    Ndugu wazima Naitwa Omm napenda kujitambulisha kwenu wadau. Ijumaa njema kwa kila mpenda maendeleo Omm.
Back
Top Bottom