Recent content by OMKEIT 93

  1. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Kwani nyinyi mmelazimishwa kuamini wanayo yaamini wao au nyinyi msio amini hayo mna kipi cha kujivunia ?
  2. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Kwani wewe ukikaa nyuma unaanguka bwashee?
  3. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Siwezi mgusanisha mke wangu na mwendesha bodaboda labda awe amepanda peke yake lakini sio na Mimi nikiwepo !!!
  4. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Unatumiaje?
  5. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Je uliwahi kung'oa jino ndugu yangu?
  6. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Shukrani kwa mawazo yako ila mmoja dah 🤔
  7. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Leta picha mkuu
  8. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Nashukuru kwa ushauri
  9. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Habari zenu wakuu heshima kwenu Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
  10. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

    Ngoja siku kiwalambe halafu mje hapa mseme ni majanga ya asili
  11. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Bid’a ya Mawlidi maana Bid’aa na ubainisho wa aina zake na hukumu yake

    ☰ بسم الله الرحمن الرحيم Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba zake na watakao wafuata hao mpaka siku ya mwisho. Ama ba'ad: Vipengele hivi ni katika kubainisha...
  12. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Kwahiyo unazani Kila mtu ni shoga au ushalewa bwashee
  13. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Ipo siku kitakulamba we angaika na ID fake tu
  14. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ndio maana watu wengi bado tupo kwenye umasikini kwa kuwaza kwamba siku yoyote ntaanguka kiuchumi !
  15. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Kwahiyo hakuna ulazima wa kibali kama sijengi eneo ambalo haliruhusiwi?
Back
Top Bottom