Recent content by Omkama

  1. Omkama

    Ufafanuzi kuhusu Alliance in global motion

    Hehee watu mna majungu sasa kipi cha ajabu hapo eti ushmen umeona hi?? Mara nina mpango wa kuroga ahahahaaaa
  2. Omkama

    Msaada wa nimehamisha pesa Kutoka premier bet kuja m.pesa

    Iwe mara ya kwanza ama ya mwisho nilihitaji msaada na wala si kujua kama mara ya kwanza wala ya mwisho
  3. Omkama

    Msaada wa nimehamisha pesa Kutoka premier bet kuja m.pesa

    asante mungu pesa angu kweli niliipata siku hiyo jion
  4. Omkama

    Msaada wa nimehamisha pesa Kutoka premier bet kuja m.pesa

    Nimeongea na mhudumu wa premier bet kwenye simu kasema saa kumi na mbili pesa wanaziachia
  5. Omkama

    Premier bet wameshikiria pesa zangu

    Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado haijafika japokuwa kule premier bet zinaonesha zishatoka maana salio limepungua. Lakin vodacom wanasema...
  6. Omkama

    Msaada wa nimehamisha pesa Kutoka premier bet kuja m.pesa

    Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado haijafika japokuwa kule premier bet zinaonesha zishatoka maana salio limepungua. Lakin vodacom wanasema...
  7. Omkama

    Kijana mwenzangu, kuliko kununua odds bora uache kubet

    Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado haijafika japokuwa kule premier bet zinaonesha zishatoka maana salio limepungua. Lakin vodacom wanasema...
  8. Omkama

    Wanawake jitahidini Kuwa wasafi.

    Wapo baadhi wachafu mm yupo mwl mmoja wa kike tena anafundisha sekondar lakin akiongea karibu yako waweza tapika
  9. Omkama

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nipe namba ya whatsapp
  10. Omkama

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza tecno W5 yenye fingerprint 180000 nipo mwanza
  11. Omkama

    Wanaume wenye magari huwa wanafaidi sana mahaba kutoka kwa wanawake zao

    Hongera yako dada angu ulishashinda mim nipo kimya kabisa
Back
Top Bottom