Jamaaa wew una ubishi wa kijinga kabsa hivi vitu vipo na vimetokea sana mi nina mfano halisi kijijini kwetu Maswa walikuwa wanatengeneza barabara kuna sehemu walikuwa wameielekeza ipite kulikuwa na miti ya bibi mmoja mikubwa walijaribu kuing'oa mpk zile Caterpillar zikawa znaharibika mpk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.