Recent content by Omi2020

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

    Bandari za Rwanda ni zile zilizoko ziwa Victoria????...sjaelewa hapa .. Dadavua...uhusiano wa ziwa Victoria na Rwanda
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

    T-shirt zenye v chini pemben ..hazichomekewagi...zenye round chini ndo huchomekewa ukitaka
  3. O

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Mbona tuliwala 5 na nyie mlikuwa under 20?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

    Hata Kama kipo Cha kujifunza .sisi ni sikio la kufa ndugu....haijaisha Hadi iishe
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Tunawavumilia TU nao ni walewale
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

  7. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Hhhhh...Ni kwere
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Ni kweli kaka..na kwako asilimia kubwa unakuta Ni ajira za kupachikana
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Kwa uzuri upi walionao
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Hhhhh hapana kaka,, hakutaka hata kuuliza natumia namba gani...yan anaigiza userious ...dah..unaongea na mtu ye Yuko busy na sim
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Wa kiume mkuu...Tena kijana ka Mimi tu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Wivu wa Nini mkuu?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Sawa mkuu
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?.. Ni viburi vya nafasi au vipi?
Back
Top Bottom