Recent content by omben 5G

  1. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hivi ki-diplomasia Kenya kuruhusu ardhi yake kutumika na Tundu Lissu kuituhumu Serikali yetu ni sawa?

    Tundu yuko sahihi! au wew unatakaje? Kama VP peka shtaka mahakamani !!
  2. omben 5G

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mungu hakuwahi kushindwa na Hathaway I kushindwa kamwe hata miisho ya dunia hii, ninaamini atakuponya tu hatoacha roho yako ipotee hivihivi!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu ripoti mbili za Bunge kuhusu Madini ya Tanzanite na Almasi

    Nyambaf zao wapite hivi [emoji34][emoji34] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu ripoti mbili za Bunge kuhusu Madini ya Tanzanite na Almasi

    Yawezekana hata huyu anayeyaibua naye yumo [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Ripoti mbili za kamati teule za bunge leo zimetoa funzo moja kubwa kwa Watanzania, kwamba CCM haipaswi kuwa madarakani

    Hapa naona ni mwendo wa "Taja utajwe " CCM haipaswi iongoze taifa hili, hawa ni sawa na comedians tu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani mkubwa aliyepewa Almasi ya Dola milioni 200? Mali zake zitaifishwe!

    Pita tu taraaatiiibu na ulimbukeni wako wa ki ccm!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. omben 5G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

    Haki ya nani hii ni laana kama si ujinga.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. omben 5G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

    Hapa kwetu tunaendekeza woga, unafiki, ushabiki kwa vitu vya ajabu, uchama kimoja (ndio unaotumaliza), kuabudiana, ujinga wa hali ya juu hata kwa wale wanaojiita wasomi n.k###$$ Lini Hili taifa litabadilika? Hongereni wakenya mmeudhihirishia ulimwengu kuwa mnajielewa sio kama waleee..!! Sent...
  9. omben 5G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

    Mkuu nipe mrejesho kama umepona ili unijuze na mimi ulichofanya kwani tatizo langu naona ni sawa na lako, msaada please!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom