Mkuu mtu mzito nina swali napenda kuuliza hivi, hivi ni kwanini mtu unakuwa na imani juu ya mungu, namaanisha unakuwa ni mtu wa maombi, kusali saana, na hata kufunga kwa maombi kwa mwenyezi mungu kutokana na dini yako,, alaf ghafla pini misukosuko/matatizo yanapokuandama katika maisha unageuka...