Recent content by omary kitumbu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Sserunkuma Atakuwa Kama Tambwe

    Ndugu zanguni wanayanga msitukane mamba kabla hamjavuka mto.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Mechi ni ngumu lakini yanga wanakila sababu ya kujiandaa kutafunwa na mnyama SIMBA.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Bunge letu kama kkoo shimoni
  4. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Inasikitisha sana kupoteza mda mwingi kujadili kuhusu mafisadi ikiwa nipamoja nakuwataja harafu kwenye kutoa pendekezo dhidi Tao watu wanaanza kuwatetea. Hiyo pesa ni nguvu ya watanza. Mungu atawawajibisha kama ccm haitafanya hivo.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Umekumbuka shuka wakati kumekucha
  6. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hali si shwari bungeni. Kunacho fanyika huko nimchezo wa kuigiza.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Bunge halina Mamlaka ya kuniwajibisha!

    Tuna kila sababu ya kuliombea taifa letu kwani tunako elekea lolote linaweza tokea.
Back
Top Bottom