Kama kweli ni mpambanaji wa vita hiyo hawezi kupambana akiwa raia wa kawaida mpaka apambane akiwa mkuu wa mkoa? Kama amekosa uadilifu kwenye vyeti awajibike tu, na vita ataendeleza akiwa raia wa kawaida kama kweli anaipenda nchi yake.
Wacha tuwe na imani na tuliowachagua kutuwakilisha, naamini wanatumikia wananchi walowachagua. Tuache wafanye kazi zao mpaka apo tukiona wameshindwa kututetea wananchi basi tutawaadhibu kwenye kura. Kwa sasa hakuna haja ya kuwakumbusha au kuwashurutisha kufanya jambo. waacheni waamue wao...
Sidhani kama kuna suala la kumchukia, uchapa kazi wa Mkuu wa Mkoa ulionekana zaidi kwenye suala la vita dhidi ya madawa ya kulevya, wengi waliipokea vyema vita hii na kuiunga mkono isipokua utata ulikuja kutokana na njia alioitumia kupigana vita hii iksemwa kua haina uweledi bali ni kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.