Recent content by omari190

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Mbona hutumishi hawajibu hoja za wadau!
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Ukweli lazima Usemwe!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Ni kweli!Ukichunguza bata hutamla.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Tofauti hipo, ndio maana ikaitwa E.SC and E.eng
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    hakuna wivu! Shida wanasababisha baadhi ya environmental science tusiombe kazi kwa kuwa imeandikwa environmental engineer! Kuanzia sasa hata mimi nikiona kazi imeandikwa environmental engineer naomba.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Mie niliacha kuomba baada ya kuandika kwenye tangazo kama environmental engineer! Nikaogopa, kuomba, kumbe wanahitaji sciencist.ok
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    Tatizo letu ni kwanini mtu kasoma environmental science apate ajira kama environmental engineer, Robert alexander na mgeta makilas wamesoma environmental science SUA na ARU. Je ni kweli environmental science anaweza kufanya kazi za environmental engineer. Na tangu lini Environmental Science...
Back
Top Bottom