Habari Wapendwa wa JF
Mimi ni Kijana wa Kitanzania, Jinsia ya Kiume, Mwenye Umri wa Miaka 25.
Elimu Yangu ni ya Diploma ya Computer Science niliyoipata Katika Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
Natafuta Kazi Yoyote kwani Nina Uzoefu Mzuri katika Masuala ya IT Pamoja na Ufundishaji Mzuri wa Masomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.