Recent content by omar khanmis makame

  1. omar khanmis makame

    UK In TANZANIA OPPORTUNITY

    Usiwe mpuuzi, majibu gan ayo
  2. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Asante sana kwa majib yk mazur[emoji106]
  3. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Kambi ipi kati ya izo iliyoanza kozi?
  4. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Ikiwa kama huwez kuchangia maneno ya kishog hayatakiwi, nimesema kwa anaeelewa,watu kama nyiyi ndio mnapenda mtu aseme maneno mabaya ikiwa huwez changiya ,utumbo mafumbo, peleka fb ,UMENIELEWA ?
  5. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Unaweza nambia kambi zote wanazopiga washaanza au kambi moja tu wanapiga?
  6. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Unaweza nambia kuna kambi ngap wanazopiga mara hii jwtz?
  7. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Yani haijafahamika siku maalum? na je unajuwa kuna kambi ngapi watapiga jwtz kwa sasa?
  8. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Wanaripoti makambini sawa ila jee washaanza koz na lini wataanza koz?
  9. omar khanmis makame

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Kwa anaefaham na wale wenyeji wa sehemu hizi naomba majibu kuhusu ndugu zetu waliopata nafas kule vp washaanza kozi au bado kwa wenye kufaham naomba kujuilishwa wakuu.
  10. omar khanmis makame

    Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

    Nafas kidogo wapiga interview kibaooo eti elf 50 wizi mtupu mi mwenyewe washawahi kunipiga uarabuni pelekeni jamaa zenu kama kuzur au anza kwenda ww kama kuna maslah
  11. omar khanmis makame

    Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

    Asante sana mkuu ila kama utakuwa unafaham mchakato huu huwa unafika kipind gani hadi umalize naomba unambie mkuu, kama siku 5 ,6,7,wiki .
  12. omar khanmis makame

    Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

    Mkuu naomba nijuvye hivi waliosomwa leo ndio tayari hakuna tena wemaliza au kila sehemu kuna awamu yake ya kusomwa msaada majibu mkuu
  13. omar khanmis makame

    Nafasi za jeshi

    Kipindi gani au mwez gani alikwambia anategemea kuchukuliwa
Back
Top Bottom