Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

Ikiwa kama huwez kuchangia maneno ya kishog hayatakiwi, nimesema kwa anaeelewa,watu kama nyiyi ndio mnapenda mtu aseme maneno mabaya ikiwa huwez changiya ,utumbo mafumbo, peleka fb ,UMENIELEWA ?
Povu ni halali yako maana matapeli wameshakufanyia mambo.
 
Wapo humu mkuu watakutafuta ili waone kama unawafaa ila kwanini unapenda hayo mambo??
hii ni kma wito kaka na ndo ndoto yangu tangu nijtambue...napenda xana kuwa mwanajeshi...xema cna connection tena cna mwelekeo wowote,cna hela ili nixaidiwe,tena naumia navyoambiwa kuwa mkono mtupu haurambwi...plz kaka kma kuna uwezekano npgen tafu kma VP mshaara wangu wa kwanza mchukue tu ,nachet cha jkt mujbu,nahtaj kuwa mlinz ila wa nchi...npo rashi n2mikie jeshi langu hata bure,;!;!!!
 
Bila shaka wahusika wamesoma maandiko yako wakipenda watakupa muelekeo mungu akubariki katika harakati zako kijana mwenzangu
 
hii ni kma wito kaka na ndo ndoto yangu tangu nijtambue...napenda xana kuwa mwanajeshi...xema cna connection tena cna mwelekeo wowote,cna hela ili nixaidiwe,tena naumia navyoambiwa kuwa mkono mtupu haurambwi...plz kaka kma kuna uwezekano npgen tafu kma VP mshaara wangu wa kwanza mchukue tu ,nachet cha jkt mujbu,nahtaj kuwa mlinz ila wa nchi...npo rashi n2mikie jeshi langu hata bure,;!;!!!
Kama unapenda kufanya kazi bure anza sasa hapo ulipo imarisha ulinzi.. Inaitwa ulinzi shirikishi.
 
Back
Top Bottom