Recent content by omaar

  1. O

    Kenya kuipeleka Tanzania ICC, yadai kisiwa cha Pemba Zanzibar ni chake

    huo wakoniuongo mpemba habaguliwi labda kajibagua mwenyewe kamakubaguliwa palekariako mngelikuwepo ?huo unafik.hau fai kuuleteta hapa !! usitukanae kichaka mchana wakati usiku kinakustiri.!!!
  2. O

    Swali: Kama CHADEMA ni dhaifu, maandamano ya POLISI nchi nzima ni ya nini?

    Hapo ndipo ulipoongea ukweli usiopingika nashangaa nivipi mtuanaingalia picha yakemwenyewe nakesha kukataa nakusema sio yeye ! hao hawana ajendatena zimebaki story tu !!
  3. O

    Kwa mbinu hii, ni kweli CHADEMA imelifikia nakulivuka lengo lake

    hata manchester united inawashabiki wengi uwanjani nanjeya uwanja lakini mwisho waligi.ndoivo tena zinabaki story tu !!
  4. O

    Kwa mbinu hii, ni kweli CHADEMA imelifikia nakulivuka lengo lake

    Hata MANCHESTER UNITED ina washabiki wengisana uwanjani na nje ya uwanja lakini miwsho waligi ndohivyo tena zina baki story !!!
  5. O

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    nadhani ndoto.yake.imetimia.leo ndio ameshaingia ikulu sihaba !
  6. O

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    sasa hapo mnafiki nani maana hao ukawa walikataa nawakasema.hawatoshiriki kikao chochote leo wamekwenda ikulu namakoti yao kama vifaranga vingonjwa ! ikulu kutamu hatakama utaalikwa itakua ushaingia ikulu !! hao wazushi tu !!
  7. O

    Polisi wafanikiwa kukamata silaha na kuwaua majambazi 5

    ukijua tofauti ya mate na udenda! utaweza kutofautisha kilakitu !!
  8. O

    Polisi wafanikiwa kukamata silaha na kuwaua majambazi 5

    kumbe ilikua mpakawafe askari ndio.utaamini ilikua kweli ?? kweli mtu huchangiwa damu sio akili !!
  9. O

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    kwani hilibunge linachambua hoja zawaislam na waliokua siwailam? ukawa alibakia mmoja pengine alikua hajapata njia yakutoka tu !alipopata ndio.hivo tena !baada ya kushiba ndio anasema chakula kibichi ??
  10. O

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    atafukuzwa kazi au chama ?maana yeye sio ccm
  11. O

    Hashim Juma Issa kutoka Zanzibar ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA

    Tatizonikutoka zanzibar nasio.watu kidogo kuongoza wengi ! Kumbekweli chadema hua haijali sana watukule zanzibar lakini ingekua katoka moshi a arusha nisawa tu !! Ukabila haumalizi nandio utakao umaliza chadema
  12. O

    CHADEMA Mara yasitisha ziara mkoa mzima

    Angalau hawakuambiwa wamewauwa ccm
  13. O

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Pengine chademahao.wameanza vitu.vyao !!siwamejipanga kufanya mambo makubwa nchi nzima ?pengine ndo wanaanza tujihadhari !!
  14. O

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    Umeongea neno hapo ! Maana walisema hawatakikakaochochote cha maridhiano ! Lakini nawaona navisuti vyao hapo kama vifaranga vigonjwa mbio wametinga ikulu !! Huomjengo unawauwa watu kweli !
  15. O

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    Kwamujibu wa chama cha chadema hata ukipewa maji ccm nirushwa sasa sjui hapo chadema walikunywa hayo maji au waliyawacha kama yalivyo ?
Back
Top Bottom