Jamani voda kuna shida gani? Hapa maeneo ya Olasiti Arusha mtandao ni shida hasa kwa upande wa data.Signal ziko chini sana.Hili tatuzo ni la muda mrefu.
Hili sasa limekuwa tatizo hata wanaowekeza kwenye sekta ya elimu wanapendelea kuwekeza zaidi kwenye shule za mtoto wa kike.Nyakati hizi ukitafuta shule bora ya wavulana ni shida.Tunahamisha tatizo kwenda upande wa pili badala ya kulitatua.
Ttcl mpo? Mnadai nyumbani kumenoga turudi lakini tukirudi mambo nitofauti kabisa.Sehemu nyingi huduma zenu ni duni kabisa.mtandao haupatikani,hebu nenda arusha,hapo olasiti tu ni mjini kabisa lakini hamna kitu.Hili ni shirika la uma fanyeni kitu tuwaunge mkono ni shirika letu hili,mnakwama wapi?
Tanesco tunaomba mnapokuwa na katizo la umeme mtoe taarifa kwa wateja jana kutwa nzima eneo lote la olasiti arusha hatukuwa na umeme. Hebu badilikeni muwe kibiashara jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.