Recent content by Oluwaru

  1. O

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwakweli tatizo la ttcl ni signal yaani nadhani wana miundo mbinu dhaifu.Tunaomba wajitahidi kuwekeza kwenye miundo mbinu.
  2. O

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ttcl tunaipenda lakini kuna shida kubwa ya mtandao hapa Arusha eneo la Olasiti signal ziko chini sana.
  3. O

    Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

    Je mnaboresha biashara ya mtu, kwa kuchafua biashara za wengine? Mungu anawaona mjue.
  4. O

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Je vodacom mnajuwa kwamba Arusha mjini na maeneo mengi jirani signal za mtandao wenu ziko chini sana? Ni vigumu sana kutumia data. Yawezekana mnajua je mna mpango gani?
Back
Top Bottom