Recent content by OLUKUNDO

  1. O

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Sio kila Yuda ni Yuda Iskariote, kuna Yuda Tadei! Na sio kila usaliti ni uovu, kuna usaliti mwema. Je, Yuda wetu ni Yuda yupi?

    Ukiangalia muktadha wa hoja yake alimaanisha "Yuda Iskariote"
  2. O

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Inawezekana anaongea bila kumaanisha anachoongea! Maana wote hawa lao moja
  3. O

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uhalisia wa wakatoliki wa mchongo

    Kweli ndg!! Maana wale Wakatoliki wa mchongo walioenda kwenye ubarozi wa Vatican walitokea maeneo hayo hayo " Yombo Makangalawe"
  4. O

    JamiiForums Tanzania Museveni wa Uganda kaigeuza nchi kuwa mali ya Familia, Ndugu na Watoto, soma orodha ya vyeo walivyonavyo

    Do! Uganda ni mali ya familia ya Museven. Na tayari CDF wa Uganda ambaye ni mtoto wa M7 kaisha andaliwa kurithi madaraka. Kufanya uchaguzi ni maigizo tu.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii propaganda ya hawa Wakatoliki wa "kuvundika" imefeli pakubwa sana

    Kuna akina Kabudi and the like, ma-professor!!!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

    Yaani kifo cha nyani, miti yote utereza. Inawezekana wako kwenye nyakati zao za mwisho madarakani. Si jambo la kawaida watu wenye akili ya kawaida kapanga mipango ya kipumbavu kama hii. Hawa watu 100 si wakatoliki bali ni aina ya watu walewale waliokuwa wakilipwa 5k kuhudhuria mikutano.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

    I see! Just imagine kiwango cha akili kinachotumika kuandaa maigizo kama haya!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Kwakweli matatizo ya nchi hii ni mengi kama mtoa mada alivyo ya ainisha. Hivi vyombo vyote (TISS, POLICE, TAKUKURU, MAHAKAMA, BUNGE n.k) havitenganishwi na serikali iliyoko madarakani. Bila kubadili katiba na kureview madaraka ya Rais nchi itaendelea kuelekea papaya zaidi.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Mkatoliki gani "Zero brain" Pandikizi la watesaji. Hujitambui, hata hoja zinazozungumzwa na maaskofu huzielewi. Maana ulitakiwa kuweka wazi ni siasa zipi zenye mlengo mbaya kwa maslahi ya taifa zinazungumzwa na maaskofu.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    I see! Nchi inarudije kuwa ya wananchi? Maana kwa sasa nchi ni ya kundi la watu fulani, na hawa watu wanafanya chochote wanachotaka kufanya.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Ni hoja dhaifu kujadili, mleta mada ulitakiwa kuchambua hoja za TEC zenye kuchochea udini, fujo, vurugu na uvunjifu wa amani. Kwahiyo hapa hamna hoja ya kujadili ni upupu tu.
  12. O

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Kuna mto mkubwa wa Rufiji unamwaga maji yake bahari ya Hindi, kwanini usiwe source ya maji kwa jiji la Dar es salaam kama mto Ruvu miaka nenda miaka rudi umeshindwa kukidhi mahitaji, Na kama awamu zote za uongozi wa Nchi hii ya Tanzania, hili tatizo la maji lipo tunawezaje kujivunia rasilimali...
  13. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Kajiandaa kutawala kwa mabavu. Kama ni kuondolewa lazima yatumike mabavu pia.
  14. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini mkubwa jinsi Msigwa anavyoibagaza CNN!

    Vyombo vya habari bongo vinafanya kazi kwa maelekezo ya watawala. Haviko huru kufanyakazi wanayotakiwa kufanya. Wananchi tunatakiwa kuvisusia, kama ni habari tutaendelea kuzipata mitandaoni.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kinyerezi: Hivi ndivyo majirani 8 walivyouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi

    Ni ushetani wa kutisha ulifanyika hapa. Kama kweli nchi hii ina jeshi la wananchi, basi liungane na wananchi kukomboa nchi.
Back
Top Bottom