Kweli Mkuu..interior ya Premio new model (T260) naona ipo kisasa zaidi,hizi gari nashangaa bei ipo juu sana sijui kwanini namba D tu bei zipo juu sana..nachukua ushauri wako Mkuu.
Second generation body ni mpya kabisa japo imerudiwa rangi ila huwezi jua mpaka uambiwe,new model body kwenye mabampa linahitaji kurudiwa rangi au iruduwe rangi gari nzima ili ikae standard kabisa..kwenye engines na transmission zote zipo vizuri..naomba recommendation yako Kiongozi ili nifanye...
Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya ku beep ya aina yoyote,naomba kujuzwa namna ya ku activate iwe ina beep nikiweka lock au kutoa...
Ni kweli Mkuu,nimefungua bonet ya hii gari nimekuta maandishi yana recommend kuwa oil ibadilishwe kila baada ya kilomita 15,000...nafikiri nitabadili soon ila ukwel oil iliyopo bado ni mpya kabisa.
Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
Habarini wadau,naomba msaada kwa yeyote ambae anaweza kuwa na mawasiliano ya sehemu ambayo naweza nikapata taa ya nyuma upande wa dereva ya gari aina ya Toyota Belta,leo nimejikuta nagonga mti wakati narudi nyuma.Natanguliza shukran kwa yeyote atakaesaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.