Recent content by Olomi jerome

  1. O

    Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    Shura ya maimam na watanzania hawana Imani tena na jeshi la polisi ni Bora tufuge mbwa walinde usalama na mali zetu kuliko jeshi la polisi
  2. O

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Kwahiyo Mbowe kamuua Magufuli?Basi Nchi nzima hatuko salama vikosi vyote vya ulinzi na usalama vivunjwe
  3. O

    Rais wa Burundi alishaukana Uraia wake wa kitanzania, waliopewa pale Tabora Mishamo?

    Kutambuana Kama wewe mrundi,mkongo au mkenya sio kubaguana Afrika kuwa moja haimfanyi mtutsi kuwa na haki ya kwenda kuongoza Nchi ya South Afrika au mzaramo kwenda kuongoza Libya kiholela lazima tuheshimu katiba na sheria tulizojiwekea
  4. O

    Rais wa Burundi alishaukana Uraia wake wa kitanzania, waliopewa pale Tabora Mishamo?

    Mwalimu Nyerere aliruhusu ndugu zake kuishi wanavyotaka kwenye ardhi ya Tanganyika na Zanzibar thus why hadi Leo idara ya uhamiaji haina nguvu Kuna mwanajeshi alirudi kwao baada ya kuwa mtumishi ktk vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hapa nchini kwetu, tujiulize aliondoka na Siri ngapi kuhusu...
  5. O

    Fitina: Nani katika hawa alimdanganya Dkt. Magufuli kuwa Drone za kuzimia moto ni Camera

    Umeandika vizuri na inavutia nimependezewa ulivyomalizia kuhusu Mzee Aboud Jumbe
  6. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Utaelewa tu bado unakuwa ....
  7. O

    UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Ehee tunaona watoto wanaanza kuwaonya wazazi wao sasa
  8. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Hii umeitoa wapi? Hiyo ofisi ya Tanzania bara iko sehemu gani?
  9. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Wewe umesema muungano ni kati ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar nimekubaliana na wewe. Tumeona Zanzibar Ina uongozi wake sawa, swali langu wanaiongoza Tanzania bara ni akina nani? Umemtaja Samia Suluhu,Philipo Mpango na Majaliwa Hawa Ni viongozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania sio...
  10. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Majaliwa Kassimi ni waziri mkuu wa Tanzania au Tanzania bara(Tanganyika)? Philipo Mpango ni makamu wa rais wa Tanzania au Tanzania bara (Tanganyika) Elewa swali kwanza ndipo ujibu
  11. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Swali langu Muungano ni kati ya Tanganyika (Tanzania bara ) Kama mnavyoiita na Zanzibar ( Tanzania Zanzibar) uimara wa muungano huu unatokana na viongozi kati ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar Viongozi wa Tanzania Zanzibar wapo je viongozi wa Tanzania bara ni akina Nani? Embu orodhesha...
  12. O

    Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwenye hitimisho umesema muungano umechukua nafasi kubwa ya kuwaunganisha wananchi na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar. Ungetusaidia kidogo kuhusu viongozi wa Tanzania bara Ni akina Nani? Na viongozi wa Tanzania Zanzibar ni akina nani? Katika kuimarisha...
  13. O

    Case study kuhusiana na mjadala wa Katiba Mpya

    Mtoa mada anajichanganya sana kuanzia suala la kuheshimu katiba na sheria za nchi pamoja na hiyo case study yake. Kwanza ungetueleza Ni akina nani hasa ambao hawaheshimu katiba na sheria za nchi yetu? Kwa akili za kipropaganda unataka kutuaminisha katiba na sheria ya Nchi haziheshimiwi na...
Back
Top Bottom