Recent content by olika

  1. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Watoto bado wadogo mkuu, sikatai yeye kukaa nao maana ni baba yao lakini kwanini hanipi nafasi ya kuzungumza nao wala kuwaona wala kujua tu mahali wanapoishi?. Pili namfahamu vizuri lengo la kuchukua watoto ni ili kunikomoa nikose utulivu niharibu kazi, sina hakika kama ana mapenzi na hao watoto...
  2. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Hayupo serikalini, uwezo wa kuhonga kiasi hicho hana labda ndugu zake wamsaidie.
  3. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Sijui watoto walipo.
  4. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Kama mama ni ngumu mno ila asante sana
  5. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Salaam wana jamvi, Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu! Story kwa ufupi iko hivi: Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
  6. olika

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Samahani kidogo naomba kujuzwa zaidi, je kama ni muajiriwa serikalini ukibadilisha majina haitaweka matatani ajira yangu baada ya kuanza kutumia jina jipya? Pili inawezekana kubadilisha majina yote matatu na isilete shida?
  7. olika

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Manyara linawashikilia watu 10 wakiwemo Watumishi 9 wa LBL Manyara

    Njoo global media hukuuuuu ina mwezi tu toka ianze!! Join at your own risk 🙌🏽
  8. olika

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Manyara linawashikilia watu 10 wakiwemo Watumishi 9 wa LBL Manyara

    Tumehamia Global kwa sasa… kama kawaida kuwahi ndo kupata 😃! Comment yangu isiguswe
  9. olika

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Mkuu naitaka hii nijilipue!
  10. olika

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari.. nahitaji kuku wa nyama nipo Moshi mjini!!! Wafugaji tafadhali mjitokeze
  11. olika

    JamiiForums Tanzania Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Shukrani kwa huu uzi
  12. olika

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nauza dagaa waliokaangwa kutoka ziwa Victoria.. bei ni 2000, 5000 na 10000. Jumla pia tunauza. Tunapatikana moshi mjini Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom