Recent content by olii

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nimeandika tamthiliya inayolenga kupambana na malaria. Je, niipeleke wapi?

    HAbari ndugu zangu natanguliza pole na majukumu mbalimbali mungu awatie nguvu. Mimi ni daktari(medical doctor) nilietokea uswazi changanyikeni so nayajua matatizo mbalimbali yanayotusibu mtaani na kupelekea shida katika afya zetu. Nimeandika tamthiliya inayolenga kupambana na malaria katika...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mungu amlaze pema uyu mama kichanga kwa kifo kichungu alichokipata kule Tanga Nasikitishwa na serikali kutopata ufumbuzi endelevu wa majambo haya sugu. Hatua ya kumuadhibu daktari aliyekuwa zamu, mtu wa usingizi na nesi wake sio suluhisho na kama kuna mwenye hoja naomba anijibu awa wa3 mnahisi...
Back
Top Bottom