Recent content by Old Plant

  1. O

    Hivi Rais Magufuli ametingwa sana kuliko wenzake wote wa nchi za SADC?

    Nimekuelewa sana ndugu umeongea point sana, siku hizi mkuu wa nchi anaona kukutana na wenzie ni ujinga lakini anasahau kwanini wenzake wameenda huko
  2. O

    Chui akifanya shambulio

    Hatari sana kama hakuna mbinu za kumuua wangekufa wote
  3. O

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana!!! Dah

    Source of income au pesa ya kiwi waliambiwa pia kila kosa la 30000 traffic anakula 5000.
  4. O

    Mwenye akili timamu aniambie ni kwa namna gani new Selander bridge itapunguza foleni

    Hilo daraja la sifa kaka msukuma anapenda kuyaona mambo kama hayo
  5. O

    Upinzani kufa kifo cha Mende 2020

    CCM mnatamani Bungeni mbaki peke yenu hilo halina shida nendeni wenyewe huko mjengoni ikifika 2020 then mtatupa majibu kuwa upinzani ni muhimu au hapana
  6. O

    ITV, utaratibu wenu mpya wa kutangaza habari mnawaumbua wanawake!

    Eti msomaji anasimama kwanza mbele ya meza then anaenda kukaa mambo gani hayo
Back
Top Bottom