Recent content by OKWONKWO

  1. O

    Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

    waheshimiwa hivi mnajua kuwa lowassa ni laigwanani mkuuu wa masai wote wa east africa??,, taito ambayo aliipata kwa mizengwe tuu kama hii ya unyanyembe??? kumbukeni jinsi ole sendeka alivolalamika sana kuhusu rafu alizocheza lowassa kuwa laigwanani.. leo tena anatamani kuwa chifu wa...
  2. O

  3. O

    Kiini cha vurugu bungeni chabainika

    ni kweli mkulu., lakini kiini kikuu ni hicho.. Kuna madhara makubwa sana mkuu ikiwa jukumu la kupata wabunge wa bunge la katiba amepewa mtu mmoja.. Maana yake anaweza kuamua/kuathiri mjadala mzima wa bunge hilo kuhusu katiba..itakuja kuwa kila anachotaka kikwete ndicho kinapita.. Hata kwenye...
  4. O

    Ni mtu gani huru aliona nyaraka za tume ya jaji fransis nyalali?

    Habari wana jf. Kuna mambo nina wasiwasi nayo toka nimeanza kuyasikia. Mi nilikuwa kinda sana enzi za tume ya nyalali. Naomba kwa wenye taarifa nzuri au waliokuwepo waniondoe wasiwasi kuwa asilimia 80 walikataa mfumo wa vyama vingi na ni 20% tu ndio walikubali. Nadhani ni propaganda za kisiasa...
  5. O

    Wabunge 106 kati ya 351 ndio waliopitisha Mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba

    mheshimiwa, je unakubaliana na kanuni ya 77 ya bunge? Ipo kihalali na iko dhahiri kabisa. Unless ungequestion ukweli wa hiyo idadi ya wabunge 106 ningekuelewa kidogo.. Tukubaliane pia kwamba katika mchakato huu wa katiba mpya suala la kuunda chombo fulani chenye nguvu za kutengua maamuzi ya...
  6. O

    Wabunge 106 kati ya 351 ndio waliopitisha Mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba

    natofautiana na ww kiongozi. Upo kinyume sana na kanuni za uzalendo,. Wanausalama wanaweza kufuatilia uraia wako. Pia kagame hana sifa na haiba za kidiplomasia kumzidi rais wa tanzania, japo kiukweli rais wetu kachoka sana kimaamuzi hadi anatia huruma.. Pia naamini kuna misimamo mingine mingi...
  7. O

    Wabunge 106 kati ya 351 ndio waliopitisha Mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba

    mheshimiwa, je unakubaliana na kanuni ya 77 ya bunge? Ipo kihalali na iko dhahiri kabisa. Unless ungequestion ukweli wa hiyo idadi ya wabunge 106 ningekuelewa kidogo.. Tukubaliane pia kwamba katika mchakato huu wa katiba mpya suala la kuunda chombo fulani chenye nguvu za kutengua maamuzi ya...
  8. O

    The Current Bunge's Syndrome:- Je Ni Case Study ya Umri na Uongozi wa Taifa or What?

    Kwa mleta uzi: kiukweli nachukia sana mtu anaetumia swanglish kwa kiwango kikubwa hivo., tukirudi kwenye uzi wako, hebu tujikumbushe nyakati za uchaguzi,ulishajiuliza haya:, 1. Kwanini kwenye baadhi ya majimbo hasa ya mjini matokeo hutangazwa kwa kuchelewa sana na kwa mtutu wa bunduki?? 2...
  9. O

    Mh Freeman Mbowe ni Icon ya Siasa za kidemokrasia Tanzania

    Binafsi nilimuona mh mbowe kwa mara ya kwanza alipochaguliwa chair wa CDM 2004: Hakuwa mtu maarufu sana lakini alipata umaarufu siku hiyohiyo moyoni mwangu kwa jinsi alivoongea na vyombo vya habari. Ilikuwa ni kwa kujiamini sana, na umahiri mkubwa wa kujenga na kueleza hoja in a fluent way. In...
  10. O

    Kusimamishwa abiria waliokaa siti ya nyuma kwenye mzani

    Nafurahi kitu kama hicho hakijawahi kunikuta. Bt nina ham nacho maana patachimbika mno!! Yaani wanaohamishwa huwa nawaona kama wajinga fulani hivi. Na mbaya zaidi kuna makonda wengine wakiona "masai" ni wengi nyuma, hutumia amri kuwahamisha watu!!!!!!!
  11. O

    IGP Mwema Watanzania Wengi Wanawachukia Mno Polisi

    Me pia nawachukia sana. Wakwanza ni tigo, wale wa mapikipiki.. Niwaoneaji sana. (Wamegeuka makachero, uhamiaji, traffic police, etc) wa pili trafic police., hawana haya. Eti dereva analazimishwa kufungua plate namba ishikiliwe na police kama hana pesa/leseni. Wa tatu ni FFU wakiitwa huwa...
  12. O

    Kenyela kajionee ngoma za baikoko tanga!!

    namaanisha kuwakamata hawa tu haitoshi kama kweli kuna nia ya dhati. Kanga moko wanacheza usiku kwenye club za pombe!! Na ni ajira kwao. Baikoko inachezwa hadharani, bila kujali kuna watoto au la. Na baikoko ni zaid ya kanga moko kwa taarifa yako!!
  13. O

    Kenyela kajionee ngoma za baikoko tanga!!

    Leo habari katika redio mojawapo ya hapa dar zinasema jeshi la polis kinondoni linawashikilia kinadada wa kundi la kanga 1 kwa "uhalifu". Kucheza mziki . Tafakari
  14. O

    Thamani ya Dr. Slaa kisiasa na anguko lake kabla ya 2015

    No, hatuwezi tu kusema bab kachuja. Ni political strategy tuu za chama. Siku zote mwali huwa anafichwa. Na ww unasema hayo kwakuwa ameadimika jukwaani. Offcoz katika mambo uliyosema mleta mada ni moja tuu ambayo tunakubaliana na ni la hatari sana kwa babu. Asimuhusishe mkewe/ mchumba kwny...
Back
Top Bottom