Recent content by Oktoba20

  1. Oktoba20

    Natafuta kazi za Viwandani

    Asante mkuu,samahani hicho kiwanda kiko sehemu gani ukitokea nyerere square?
  2. Oktoba20

    Natafuta kazi za Viwandani

    Habari za leo wakuu, Kwa walioko Dodoma na wanaofahamu wapi ninaweza pata kazi za day work viwandani, nina ujuzi wa Microsoft Excel na Word pia naweza kufanya kazi yoyote kama kutunza mifugo kama kuku na nguruwe au hata kazi yoyote, nimepostpone semester chuoni ili nishughulikie maswala ya ada...
Back
Top Bottom