Recent content by okai

  1. O

    Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  2. O

    Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

    mkuu huko mbugani tairi kupasuka si kugusa ukizingatia niko na ka wish
  3. O

    Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

    jamani asanteni kwa michango yenu mnayoendelea kutoa nimepata mwangaza kama nilivyotangulia kusema njia ya dar to mwanza via dodoma nimepita mara kadhaa ila changamoto ni jam wakati mwingine unaweza tumia hadi masaa matano na ushee kuiona morogoro,endapo utofauti ungekuwa km 100 mpaka kuiona...
  4. O

    Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

    Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado Nategemea michango yenu wakuu
  5. O

    Ripu nzuri ni ipi?

    Asante boss kwa ABC ulizonipa mm niko mwanza kuhusu kukupa kazi bado navuta nguvu ya material nikishakamilia nitakutafuta
  6. O

    Ripu nzuri ni ipi?

    Mkuu nyamwage unaposema timanzi unamaanisha nn
  7. O

    Ripu nzuri ni ipi?

    Wataalamu nisaidieni katika hili maana mafundi wengine wanasema ripu ya mkono bao ni nzuri kuliko ya kutumia galamara nawasilisha
Back
Top Bottom